Msaada jinsi kutambua simu aina ya samsung orijino

WAkuu naomba msaada jinsi ya kutambua simu tajwa hapo juu

Piga *#0*# kisha screen itabadilika itaonyesha LCD TEST. Kuanzia hapo jua una mzigo orijino....km ukipiga izo code kisha haionyeshi kitu usijisumbue kumtafta mchawi. Em tuendelee, ikishaonyesha LCD TEST kuna vipengele kadhaa vitaonyesha, kati ya ivyo vipengele km neno sensor litakuwepo i'press kisha gusa sehem ya juu ya simu yako simu yako itasense dam yako na itakuonyesha vipimo. Ni seem ya juu kabisa ambayo kwa baadhi ya seem ya samsung ndio mahali pa kupata tundu ya headphone na au USB.
Jaribu ivyo..
 
Iko poa sana hii mkuu, nimetst yangu galaxy note I hapa naona iko poa. Thanks sikujua hili mkuu
 
IMEI za simu original lazima zianzie na namba 35 piga ua iwe samsung nokia blackberry sony au singsung isipoanza na 35 ujue serikali wakiamua kuzizima zisikamate network imekula kwako...just dial *#0#

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
simu zote huwa zinaanza na 35 mkuu..
 
Mkuu mi natumia galaxy s3 clone lakini hiyo website imenipa majibu na picha ya galaxy s3 yenyewe ikithibitisha kuwa cm yangu ni original kitu ambacho si kweli. Nadhani haipo accurate au inashindwa detect replica zinazo karibiana na original.
 
Mkuu hii ya ukweli, most certain, best of the best...nimejaribu kwa samsung grand yangu hapa naona ipo ok....asante sana mkuu..Salute!
 
Piga *#0*# kisha screen itabadilika itaonyesha LCD TEST. Kuanzia hapo jua una mzigo orijino....km ukipiga izo code kisha haionyeshi kitu usijisumbue kumtafta mchawi. Em tuendelee, ikishaonyesha LCD TEST kuna vipengele kadhaa vitaonyesha, kati ya ivyo vipengele km neno sensor litakuwepo i'press kisha gusa sehem ya juu ya simu yako simu yako itasense dam yako na itakuonyesha vipimo. Ni seem ya juu kabisa ambayo kwa baadhi ya seem ya samsung ndio mahali pa kupata tundu ya headphone na au USB.
Jaribu ivyo..

Kiongozi siku hizi baadhi ya Chinese phone ambazo ni Samsung copy hata ukiweka hizo code Inafanya the same. Kwa mfano galaxy s 4.
 
Tecno fake c realy af u nanyI mlojarbu cm zenu semeni ni code ip mlo2mia xawa
 
Anayesema tekno ni product orijno atupe evidence

Kuna tofauti kati ya fake na bidhaa duni

Tecno sio fake bali ni inaweza kuwa bidhaa duni

Fake maana yake ni kutengeneza kitu kingine na ukakifananisha na kukipa jina la kitu halisi

Bidhaa duni ni kutengeneza bidhaa yako mwenyewe na kuipa brand yako lakini kwaliti ikawa duni

Unless otherwise itokee kampuni nyingine waanze kuzi fake na Tecno kwakuwa zimepata soko kubwa
 
Back
Top Bottom