Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
wakuu heshima yenu,naomba msaada wa kueleweshwa ni namna gani naweza kuinstall vlc media player katika hisense ambayo ni smart tv? kwa maana haina playstore hivyo siwezi kudownload adroid based programs!
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.