eric emanuel
Member
- Jan 9, 2017
- 11
- 2
masaada plz,kwa kipindi kirefu nimekua nikitumia jina lisilo langu kwenye JF kwa sababu nilifunguliwa ACOUNT na mtu mwingine ambae aliandika jina lake,sasa imefika wakati nataka kutumia jina langu nifanyjee? anaejua jins ya kubadilisha jina kwenye acount ya jamii forum anisaidie coz nimekwamaaa