Msaada: jino langu langu limeoza

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
Wakuu jino langu la mbele limeoza nataka kung'oa na kuweka lingine. Naombemi mnitajie hispitali yenye madaktari wazuri hapa Dar na yenye gharama nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unataka kuweka jino gani. Kama unataka removable partial dentures au unataka permanent dentures with root and crown.
 
Wakuu jino langu la mbele limeoza nataka kung'oa na kuweka lingine. Naombemi mnitajie hispitali yenye madaktari wazuri hapa Dar na yenye gharama nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii page niliiona tu Insta jamaa wanadili na mambo ya kinywa unaweza,tembelea ukiona itakufaa unaweza watafuta link hapo chini
 
Back
Top Bottom