Msaada JF- Malaria Sugu au Typhod? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada JF- Malaria Sugu au Typhod?

Discussion in 'JF Doctor' started by SG8, May 28, 2012.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Ndugu zangu Wana JF poleni na majukumu.
  Naomba msaada tafadhali.. Kwa wiki karibu 3 sasa nimekuwa nikisumbuliwa na homa homa zenye dalili za malaria. Nimecheck kwenye hospitali mbili za Kairuki na Regence lakini sijakutwa nayo. Ila nilienda kwenye kizahanati fulani cha serikali nikakutwa na malaria 2. Kabla ya kumeza dawa nikaenda hospitali nyingine nikaambiwa sina malaria.
  Je, tatizo nini? Ni hospitali gani hapa Dar ambayo ni nzuri na ina vipimo vizuri vya malaria na Typhoid? Dalii zake ni joto usiku, maumivu kwenye joint, tumbo kwa umbali, kukosa appetite na maumivu ya kichwa.
  Msaada tafadhali
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  @Gerrard Nenda Dar Hospitali Kuu ya Muhimbili huko kuna Wataalamu wataweza kukupima na kukusaidia hayo Maradhi yako ya Malaria au hiyo Typhod Kuondoka mwilini mwako fanya hivyo mkuu
   
 3. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,427
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kama una typhod vile,nakushauri kacheck hiyo typhod
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Asante sana Mkuu MziziMkavu, ubarikiwe sana
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole sana Gerrard, naimani ukifuata ushauri wa Mzizi Mkavu mambo yatakuwa sawa soon...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Amen, tuombeane sweetlady maana hali sio nzuri kabisa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Usijali Gerrard mie nakuombea sana sana......naamini Mungu ni mwema hivyo ataenda kujibu maombi yangu!....

  Maombi + Dawa = Tiba .....so na wewe uzingatie kunywa dawa eeh.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Asante sana ndugu yangu kwa maneno yako ya faraja. Ubarikiwe sana sweetlady
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Amina Gerrard.....Ubarikiwe pia ndugu yangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...