Borro
Member
- Nov 29, 2011
- 98
- 40
Hi JF,
Narudi tena hapa jamani kuomba kuelekezwa sehemu kwa Mwanza ambapo nitapata haya magodoro laini alimaarufu kama magodoro ya sufi. Nadhani wakuu haya magodoro mtakua mnayajua ingawa maduka mengi yanayouza magodoro kwa hapa Mwanza kila mara nipitapo kucheki wanakua hawana. Kwa hiyo wakubwa naomba kwa anaejua sehemu yanapouzwa tafadhali anijulishe kupitia hapa jamvini. Nahitaji 5*6, inch 8 au 10, kama vipi kwa msaada zaidi naomba nijuzwe na bei pia.
Ahsanteni Sana.