MSAADA JF DOCTOR

uludodi

JF-Expert Member
May 23, 2014
574
913
Msaada tatizo la uume.
Kwanza mke wangu alikua na *U T I* Ametibiwa kapona ila mimi kuna tatizo kwenye uume kwanza unaota vipele vyeusi ambavyo havitoki halafu leo nimejichunguza kwenye tundu la mkojo kunaonekana ndani kumeota kama vinyamanyama vinamadoadoa ila haviwashi wala nini sijajua tatizo ni nini? uume hauwashi hata kidogo. Kwa mwenye ufaham naomba ushauri
 
pole mkuu,huna kamchepuko kwa huwenda ulichukua katatizo huko?

mkeo alivyoenda hospital akagundulika ana hiyo uti mlienda pamoja au alirudi tu akakupa majibu ana Uti.?
 
Kama umepima mtaani tu hata magonjwa ya ngono utaambiwa UTI..ukweli Nikwamba mchepuko wako una mgonjwa utakufa siku si zako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom