Msaada: Je wamiliki wa telebox Tanzania app ni matapeli?

al abry

Senior Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
161
Reaction score
102
Habarini za wakt huu wana jamvi,najitokeza humu asubuh ya leo nina kero moja.
Kutoka playstore ya hzi smartphone kuna app mpya inaitwa TELL BOX TANZANIA ina husu ku hack namba ya sim ambayo mtu huichagua baada ya kudownload.baadae utatakiwa kulipa elf 45 kweny namba iliyopo kwenye maelekezo ya application hyo ili upate activation code itakayo saidia kupata notification zote za sim, sms, voice notes au whatsapp znazoingia kwnye nanba husika uloichagua.

Sasa buana,nimedownload hyo app na nikafata maelekezo yote na kulipia tangu jana na baadae nili forward ile sms ya confirmation ya malipo katika namba flan kwenye whatsapp.nikiangalia last seen ya hyo namba katka whatsapp ni sku mbili zilizopita.

Nikipiga simu haipokelewi nikituma sms hazijibiwi.swali langu ni je!,hii application ni halali au ni matapeli wameamua kuzua njia ya kula pesa zetu???
Namba yenyewe ni 0679 745029 jina ni Sesilia Mathayo.

Wana jamvi wenzangu nisaidien uhalali wa hii app maana pesa yangu inaniuma jaman usawa wenyewe huu.

hack+20171122_103131.jpg
 
Mkuu umeliwa. Hesabu maumivu.

Wapigie Huduma kwa Wateja wa mtandao wao na uwaambie ulikosea namba kutuma hiyo fedha. Kama hawajaitoa, wanaweza kuiblock na kukurudishia.

Kama imeshatolewa, basi wewe huna budi kukubali umeliwa.
 
Dah sasa kwann hawa watu waruhusiwe kufanya hii kazi?
 
Habarini za wakt huu wana jamvi,najitokeza humu asubuh ya leo nina kero moja.
Kutoka playstore ya hzi smartphone kuna app mpya inaitwa TELL BOX TANZANIA ina husu ku hack namba ya sim ambayo mtu huichagua baada ya kudownload.baadae utatakiwa kulipa elf 45 kweny namba iliyopo kwenye maelekezo ya application hyo ili upate activation code itakayo saidia kupata notification zote za sim,sms,voice notes au whatsapp znazoingia kwnye nanba husika uloichagua.
sasa buana,nimedownload hyo app na nikafata maelekezo yote na kulipia tangu jana na baadae nili forward ile sms ya confirmation ya malipo katika namba flan kwenye whatsapp.nikiangalia last seen ya hyo namba katka whatsapp ni sku mbili zilizopita.nikipiga sim haipokelewi nikituma sms hazijibiwi.swali langu ni je!,hii application ni halali au ni matapeli wameamua kuzua njia ya kula pesa zetu???
namba yenyewe ni 0679 745029 jina ni sesilia mathayo.
wana jamvi wenzangu nisaidien uhalali wa hii app maana pesa yangu inaniuma jaman usawa wenyewe huu.View attachment 635488
ASANTE KWA NAMBA MKUU SASA WATCH DAD IS COMING...........
 
Wote nyie mmekutana wahalifu. Unaingiaje gharama hivyo ili u-hack namba ya MTU kama na wewe sio mhalifu kama mwenzio? Wa kwanza kuchukuliwa hatu ni wewe afu huyo mwenzio wote mnastahili kushughulikiwa na mamlaka husika.
 
jaman mimi tena[emoji57][emoji57]
 
Kuna njia nyingi za kuhack sitaeleza hata njia moja.Kipindi najifunza kuhack nilihack mawasiliano ya mtarajiwa loooh nilichokiona nilitamani nife na penzi liliishia hapo sitaki ujinga wa kuhack tena
 
Yeah, kwanini u-hack mawasliano ya mtu?
Cha ajabu kama ni mwenzi wako utaishia kuugulia tu maumivu uwezo wa kumuacha huna!!!!
Una hela nyingi, naomba elf 10 ninywe dompo nakupm namba
Hahahaaaaa!!!!nimependa swaga zako wewe inakufaa ulanzi wa iringa
 
Habarini za wakt huu wana jamvi,najitokeza humu asubuh ya leo nina kero moja.
Kutoka playstore ya hzi smartphone kuna app mpya inaitwa TELL BOX TANZANIA ina husu ku hack namba ya sim ambayo mtu huichagua baada ya kudownload.baadae utatakiwa kulipa elf 45 kweny namba iliyopo kwenye maelekezo ya application hyo ili upate activation code itakayo saidia kupata notification zote za sim,sms,voice notes au whatsapp znazoingia kwnye nanba husika uloichagua.
sasa buana,nimedownload hyo app na nikafata maelekezo yote na kulipia tangu jana na baadae nili forward ile sms ya confirmation ya malipo katika namba flan kwenye whatsapp.nikiangalia last seen ya hyo namba katka whatsapp ni sku mbili zilizopita.nikipiga sim haipokelewi nikituma sms hazijibiwi.swali langu ni je!,hii application ni halali au ni matapeli wameamua kuzua njia ya kula pesa zetu???
namba yenyewe ni 0679 745029 jina ni sesilia mathayo.
wana jamvi wenzangu nisaidien uhalali wa hii app maana pesa yangu inaniuma jaman usawa wenyewe huu.View attachment 635488
Yani wewe ni wakushughulikiwa tena haraka sana, kwani una kibali cha ku hack namba ya mtu mwingine? Unajua ni kosa katika sheria za mawasiliano, utafunguliwa jarada kesi yako ingenikuta mimi husingefurahi hukumu yake ili iwe funzo naanza na wewe case study
 
kweli wewe toxic
 
Kuna njia nyingi za kuhack sitaeleza hata njia moja.Kipindi najifunza kuhack nilihack mawasiliano ya mtarajiwa loooh nilichokiona nilitamani nife na penzi liliishia hapo sitaki ujinga wa kuhack tena
Bora we ulimuacha, wengine ubavu wa kuacha hana anabaki kukulilia tu utadhani ulimtuma.
 
kweli wewe toxic
Ndiyo hivyo hakuna uhalali hapo na hilo jambo huwezi kulishtaki mahala popote simply because it is void contract it is illegal unless otherwise uwe na kibali halali cha kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom