Dignah
Member
- Jan 26, 2022
- 70
- 95
150,000 mpaka kukamilikakuandaa Hyo Deep poll inagalimu shiling
150,000 mpaka kukamilikakuandaa Hyo Deep poll inagalimu shiling
deed poll … 0629504117 karibu tunatoa huduma hiyooJe kama ,majina ya vyeti vya taaluma ni mawili, lakini kwenye namba ya nida ni matatu, kuapply ajira portal,ninaandaa affidavit au deed poll
Hapo ni AVIDAVITHahitaji kujua nini natakiwa kuandaa kati ya Deed Poll au Affidavity?
Mimi jina langu limekosewa herufi moja na haibadilishi maana ya jina.
Badala ya Mohamed, likakosewa kwa kuongezewa herufi “i” yaani Mohamedi
Je, nini nifanye?
ni tofauti.. Affidavit ina expire ila deed poll unatumia kwa muda mrefu nduguDuuh 🙌🏻🙌🏻
Niliwahi kuuliza mwanasheria wangu akaniambia vyote ni sawa ni matamshi tofauti tu
Leo mmenipa ufafanuzi sahihi natambua mwanasheria wangu ni kilaza
Affidavit huwa inatumika ndani ya miezi mitatu tuu ina expire, ila deed poll inatumika kwa muda woteHapo ni AVIDAVIT
SAWA
All the best.
Yoteee nayajuani tofauti.. Affidavit ina expire ila deed poll unatumia kwa muda mrefu ndugu
Affidavit huwa inatumika ndani ya miezi mitatu tuu ina expire, ila deed poll inatumika kwa muda wote
okay, ila aandae deed poll na sio affidavit, maana ikiexpire atatengeneza nyingine tena ni gharamaYoteee nayajua
Nilitaka kukuita maana niliona Uzi wako kumbe ushafikaAndaa deed poll, Affidavit huwa ina expire ndani ya miezi mitatu dear…! 0629504117 karibu nikuandalie deed poll
hahaha ndio ndio mkuuNilitaka kukuita maana niliona Uzi wako kumbe ushafika