Hii kukosea kuandika jina litakiwa litangazwe kuwa janga la kitaifa kwa Tanzania. Hali ni mbaya sana sana. Uzembe unaanzia kwenye kuandika maneno ya kawaida kabisa ya kiswahili kama gari/gali, tafadhali/tafadhari, hakuwepo/akuwepo, anachelewa/hanachelewa nk. BTW jina lako limekosewa na nani/mamlaka gani? Ilikuwa uzembe wa nani mpaka ukafikia hapo? Nauliza hivyo kwa sababu kama ni cheti. mamlaka iliyotoa kama ilifanya makosa ndiyo ya kubana irekebishe.
Duuh 🙌🏻🙌🏻
Niliwahi kuuliza mwanasheria wangu akaniambia vyote ni sawa ni matamshi tofauti tu
Leo mmenipa ufafanuzi sahihi natambua mwanasheria wangu ni kilaza
Duuh 🙌🏻🙌🏻
Niliwahi kuuliza mwanasheria wangu akaniambia vyote ni sawa ni matamshi tofauti tu
Leo mmenipa ufafanuzi sahihi natambua mwanasheria wangu ni kilaza