Msaada.:je hii mimba inaweza kuwa yangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada.:je hii mimba inaweza kuwa yangu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndisinzowa, Aug 23, 2012.

 1. n

  ndisinzowa Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana jf,nina gf wangu ambaye alikuwa anakaribia kubleed,yaan akanambia karibu ataingia bleed na dalili za kubleed kaziona,sasa nika du naye bila kinga..saiv ananambia ana mimba..na ninavyojua akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.je mimba hii ni yangu au changa la macho?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  acha utoto, hebu lea mimba.
  Mbafu kabisa.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ana bahati umetangulia wewe kumwambia, mie ningemtandika na bakora kabisa!
   
 4. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Unaitaka huitaki? Mbona unaulizauliza kama kuna waliokusaidia kushika miguu. Kuna mtu asiyejua chake.....mbona hujiamini kijana?
   
 5. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  we umejulia wapi hiyo concept!!! we sio mwaminifu wewe!!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mnapokuwa mnaduu mnafurahia, zao la kuduu kwenu likija mnajifanya hamna uhakika na mimba........hovyo kbs
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  acha umbumbumbu..wahi kamchukulie hati punguzo
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hebu fikiria hivi
  kwani mimba iwe yako au sio yako
  ni gharama sana kuilea?
  kwa nini usille hadi akijifungua
  ukiwa nawasiwasi ukapime DNA...upate jibu....
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Muulize yeye ni ya nani atakuwa anaijua!
   
 10. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kaka mijitu mngine nijinga kabisa yaani kubwa zima linaendekeza uchafu kisha linakwepa majukumu mmmmmpyuuu!!
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu ungekuwa karibu yangu ningekumwagia uji wa moto usoni nyinyi ndio mnawapachika mimba wanawake then mnakana nyambafuuuuuuu

  ngoja nipige funda la mbege
   
Loading...