Habari za jumapili ndugu zangu..!
Katika mihangaiko ya hapa na pale suala la familia ni muhimu. Nipo katika harakati za kuyafanya mahusiano yangu na binti wa kisukuma kufikia hatua ya ndoa. Jambo linalonifanya nije hapa jukwaani naomba mnisaidie mambo yafuatayo maana huyu binti kwa kiasi Fulani taratibu za kikwao hazifahamu vyema.
1. Katika kumtolea mahari binti wa kisukuma ni mambo gani huambatanishwa na tukio hilo..?
2. Tofauti na mahari, ni gharama gani/vitu gani vinvine ambavyo natakiwa kuviandaa kama sehemu muhimu ya kukamilisha tukio hilo..?
Nitafurahi endapo nitapata mwongozo kutoka kwenu.. Hasa kwa wanaozifahamu taratibu za wasukuma wa sengerema.