Msaada jamani

Msaada jamani

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,556
Naomba msaada kwenye Tecno P3 android 2.3 imenigomea kufungua whatsap kila nikijaribu naambiwa nidownload new version imeoneshwa hapa ila kila nikijaribu haikubali

Nisaidieni wataalamu
 
Naomba msaada kwenye Tecno P3 android 2.3 imenigomea kufungua whatsap kila nikijaribu naambiwa nidownload new version imeoneshwa hapa ila kila nikijaribu haikubali

Nisaidieni wataalamu

Kama bado haijakubali cheki mtandao unaotumia kama haupo down au fungua moja kwa moja play store search whatsApp ukiletewa ;update, hakikisha internet unayotumia ina nguvu.
 
kuna app ingine inaitwa mobogoise sijui..... inapatikana google play ukiipata hiyo utadownload whatsapp
 
Back
Top Bottom