Ngatelefijo
Member
- Jan 7, 2014
- 20
- 3
Wadau naomba ushauri kuna gari nataka kununu aina ya CARINA SI YA 2001 CC 1762 wataalam naombeni ushauri service,spare,ulaji mafuta na mengine ushauri wadau
Achana nayo kwanin usinunue Carina Ti kama kama unahofia ulaji wa wese.