Msaada jamani

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Heshima kwenu wakuu,mwanzoni nilikuwa natumi IDM Kudanlod videos na audio katika laptop yangu ila kwa sasa inagoma na wanataka niinunue/niilipie kwa kuwa muda walionipa wa siku 30 for free ulishakwisha.Sasa nifanyaje ili niendelee kuitumia na mim sitaki kuinunua?,au ni program zipi nzur za kudanlod materials naweza kuzitumia for free?.msaada wenu please!
 
  • Iondoe hiyo IDM kwenye PC yako
  • Download na install EagleGet ni bure na haina usumbufu kama IDM
 
  • Iondoe hiyo IDM kwenye PC yako
  • Download na install EagleGet ni bure na haina usumbufu kama IDM

namna ya kuindoa ndo nimeshindwa nimeidelete kote mpaka kule kwenye cyclebin lakin nikitaka kudanlod eagle idm inajitokeza tena na inaonekana nilijisajil.msaada plz
 
namna ya kuindoa ndo nimeshindwa nimeidelete kote mpaka kule kwenye cyclebin lakin nikitaka kudanlod eagle idm inajitokeza tena na inaonekana nilijisajil.msaada plz

Bofya start -> control panel -> add or remove program -> itafute hapo kwenye list ya program Kisha bofya internet domnload manager ili kuiondoa IDM
 
Bofya start -> control panel -> add or remove program -> itafute hapo kwenye list ya program Kisha bofya internet domnload manager ili kuiondoa IDM

duh mkuu we ni noma nimeshaitoa kaka nijaribu kudanlod eagle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…