Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
guys salama jamani,naombeni ushauri kwenye matokeo ya o level nilipata D mbili,then nikajiunga na chuo cha ufundi,sasa nimemaliza nataka omba kazi,sasa je kwa matokeo ya o level ya D mbili naweza pata kazi katika kampuni kubwa,Au nikifoji icho cheti