sio kulalamika mkuu alikuwa hajui yote hapo juu ndio maana anaomba msaada,barua ya kuthibitishwa kazini inakuja baada ya muda gini baada ya kuanza kazi?maana kuna watu wamechukua mikopo na hizo barua hawana,na kuna mtu kaanza kazi mwaka 2000 barua kapata juzi,na keshachukua mkopo wa ujenzi muda mrefu,au ni hii halimashauri?