Msaada jamani

Msaada jamani

lukeson

New Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Jamani simu yangu imeblock patterns naingiza email na pasword zinagoma ts samsung gallaxy pocket ur help please!!!!!!
 
kwanza tumia laptop ku ingia kwenye acout yako ya google.com alafu ikikataa password clik sehemu ya forget password alafu fuata maelekezo mpaka ufikie acount yako ikikubali tumia password mpya ulizo tumia kufikia kwenye acount yako iliufungue cm yako ukishindwa.
Tumia hatua hizi chini lakini utapoteza kilakitu kilichokatika cm yako.itakuwa kama mpya.
1 zima cm.toa battery kama sekunde 6
2bonyeza button ya kuwashia na volume up au down
Hapo utakua umeingia kwenye bootloader alfu fanya hard rest bila kufanya backup yoyote.
3clear caches
4clear backup.
5reboot
Yuo done now gusa huyo mdoli tuendelee kuish
Ilikurudisha majina yako yasimu inabidi uingize email na password zako
Unaweza kutumia wifi network ilkupata Internet mojakwamoja au
Uingie sehemu ya networks ufanye configuration kwenye vpn ni (tigo web)au vodacom internet na APN ni (internet)hii nikwa network za tanzani zote ukijaza vingine net itakuwa slow jaza apn na vpn tu 3g ipo?endelea mkuu afu uludi humundani tuone ujuz wako
 
Back
Top Bottom