kaka CD za nini tena? nipe hiyo PSP nikuwekee CFW ili ucweke games kwa memory card yake. kutoka hapo ni kuniambia unataka games zipi. bei= unilinde tu mwaya :biggrin:
Psp yangu ina v6.10 kwaio inabidi ni upgrade firmware kwanza na ku update inabidi battery iwe full halafu sasa battery sina, I use the ac adapter so to use cfw I need a battery..... Umeona kazi iyo