alley omar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 277
- 37
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada

Wakaka punguzeni wivu kwa dada zeni.
Kiukweli huwa mnaboa sana.
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada
Kwani huyo uliye nawe wewe si dada wa mtu?
Usijali anamwelekeza jinsi ya kutumia luku