Uwe unatumia kichwa change habari Chenye maelezo ya tatizo, kama summary.
Hiyo file uliyodownload probably ni iso file. Inabidi uirekodi kwenye DVD au utumie USB creator ya Microsoft ili utengeneze bootable usb drive. Ukishatengeneza inabidi u boot kutoka hiyo DVD au USB.
Usb tool utaipata hapa:
Microsoft Store Online
Kuburn iso tafuta cdburnerxp ni bure.