msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jerda, Nov 20, 2011.

 1. J

  Jerda Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wiki iliyopita nilikutana na bf wangu sehemu tulikuwa na mgogoro baada ya kujua kuwa anamtu mwingine siku za nyuma, tulikutana ili tujadili kuhusu mgogoro uliokuwepo kati yetu, baada yakumbana sana na maswali alidai basi tuachane, nilimuliza zaidi ya mara3 "are you serious" alijibu kwa elfi kubwa "am very very serious" zaidi ya mara3, nililia sana mda huo badae nikamshukru mungu, na kumwambia usinipigie simu wa kunitumia sms, akadai nisifanye hayo maamzi magumu sana, akadai nitafakari maamzi yangu kwanza, baada ya siku 3 alinitext "life is undefined my dia tumestop mahusiano lakini si urafiki wakawaida" kila siku asubuhi akawa ananiamsha nikasome, na mimi napokea simu na kumwambia aksante, juzi kanitext akidai "he not settled at all, completely failed kuachana na me, kwani amegundua kuwa ananipenda toka moyoni" nilimjibu "you can't be serious" sasa toka juzi anataka kuja kunitembelea, mimi kila nikifikiria kumuruhusu aje roho inagoma kabisa, sababu nampenda sana na ananiumiza kila kukicha ni mwaka wa3 sasa ila matukio yake yamezidi, week ya pili sasa kila nikijitahidi kusahau nashindwa kabisa kwani nilimpenda toka moyoni na sikuwahi kumcheat!! mawazo yenu jamani maana kila siku nimekuwa mtu wakuwaza tuu na kujikuta nakata tamaha kabisa!!
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asikushughulishe,wachana na sms zake na usimjibu keshajua kama huchomoi kwake ndio anakufanya chambio lake,anataka kuja kwako kufanya nini? na wewe shosti jikaze kike usituangushe ebu jipe cheo usikubali mwanamme akuchokoe roho kwa lipi hasa?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hapa pana wenyewe! Na bila shaka wengine wapo church na wengine bado wamelala kumalizia wikiendi,nahisi waki2a majibu utapata mpendwa. Hili la kwako kwenye hili jukwaa ni cha mtoto. Wait pls!! Nimepita tu!
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli
   
 5. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  loh! usimpe nafasi hata kidogo miaka 3 na bado anakuzungusha tu na ww unakubali hebu nifunze kusema hapana ktk hili mpz na mungu atakubariki mara sabini elfu
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Waswahili Wanasema Kula Kitu Roho inapenda, hamna haja ya kulazimisha huzuni wakati unaijua furaha yako au kulazimisha huzuni wakati ipo furaha. Ni Wewe Mwenyewe ndiye mwenye kuweza kumfahamu vizuri m2 wako kuliko sisi hivyo fanya uamuzi sahihi wakati sahihi.
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  pole sana na yanayokusibu...mie nataka kukwambia kuwa wat u going thru ni kawaida kile kipindi ambapo ndio kwanza meachana....ukweli ni kwamba sisi ni binadamu na hivyo huwezi kuzizima ghafla tuu kama unavyozima switch ya umee. ina chukuwa muda. hivyo inabidi uwe mwenyesubira na kwamba kutakuwa na wakati ambapo utatamani kuwa nae but lazima ujue kuwa huyo sio mzuri kwako kama wewe unajaa na mawazo na moyo kuumia. human adaptation to changes takes a while......ulishazoea kuwa na mpenzi so kwa sasa itachukuwa muda kuzoea hali ya kutokuwa nae.
   
 8. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nipo katika crisis kama yako, mtu anasema amelazwa hospitali anaumwa na anachoumwa ni kuwa hawezi kuishi bila mm, but for the past three years amekuwa akinitendea unyama wa ajabu na ninapomwaambia feelings zangu hajali..nikawa nashinda nikiumia na hata kufikia kudevelop BP, hatimaye nilipiga moyo konde nikathubutu kujaribu kumwacha, nakuambia nimefanikiwa, nau she is the one who z suffering kwa kuwa amekutana na walimwengu wenzie wanaojua mapenzi ya ki .com kama yake na amekumbuka shuka wakati kumekucha.

  Ushauri:
  dada, sepa tena sepa while u still can, don't look back, utaendelea kuwa mtumwa wa mapenzi na kuteseka muda wote katika maisha yako.. some people like ur guy wameumbwa kuwa hivo... so ni vizuri umwache huyo kipofu aende na vipofu wenzie.. The best way kumwacha ni kukata mawasiliano nae yoooote, facebuk, emails na hata cm. the best way tafuta line mpya ya simu kwa muda wa miezi japo 4 au 5 mpaka atapoacha kukusumbua then ndo uresume line yako, mblock ktk facebuk na pia zuia emails zake... otherwise utumwa wa mapenzi is there still waiting 4 U, kinyume cha hapo bado unampenda na pls SEMA NAE USIONE SOO... ila jiandae na aina ya maisha unayoyachangua
  "mwenye macho haambiwi tazama, nimenena niliyonena na mwenye masikio na asikie"​
   
 9. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  sasa km unampenda na yy bado anakupenda sisi 2nasubiri kadi ya mchango wa harusi na kuagwa! ila kua makini next tym utapewa kadi ya mwaliko,lazima kuna m2 amekuzidi maarifa hapo! us men we a very dangerous like poison!
   
 10. J

  Jerda Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upo sahihi kabsa na kurudi hapana kwakwel sema inauma sana jaman!!!!!!!!!!!
   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Umesema bado unampenda, yy pia kaomba msamaha anakupenda, & u have 2gether for 3yrs, heeeee sasa unataka nini? jitambulisheni mfunge harusi, kugombana jambo la kawaida sana, ila je huyo dume lako anakujali? Mfano kimahitaji meaning anakusupport kwa vitu vyako? Je anapenda ndugu zako? Sasa ni kuoana tu, acha kulalama....achana na watu msamehe, endekezeni maisha, utabaki na manung'uniko weeee, ya nini unampenda, aanakupenda, basi kwishnei....
   
 12. J

  Jerda Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aksante!!! ushauri mzuri sema pagumu sio kidogo yan
   
 13. J

  Jerda Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikweli inachukua mda na inauma sana!!
   
 14. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Basi we ndiye kinyonga... Unabadilika badilika maana husomeki, inaelekea hapa unajitetea tu, hatujui ukweli or other side of story, kama unampenda bado, yy karudi tena kwa msamaha na anakupenda, ww unasema hapana basi, ooohhh...sijui nini, ww ndiye tatizo basi....
   
 15. J

  Jerda Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najitahd ila duh, pagumu, aksante ushauri mzuri
   
 16. J

  Jerda Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aksante sana najikaza dats y roho inagoma kumt nae
   
 17. J

  Jerda Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kucheat kunatokana na nn sasa??????? 1kauli zake, 2 hajatulia, suala la kunijali tu siwezi rahum kvle anajitahidi
   
 18. J

  Jerda Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matukio ni mengi nimevumilia sana mpaka nachoka sasa mda wote nakuwa mtu wakumia tuuuuuuuuuuu
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....maombolezo ni hali ya kawaida baada ya kuachwa au kuachana, ...sawa na msiba!
  usichanganyikiwe na maamuzi yako bana, time is a healer.
   
 20. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  I got u, kama hajatulia na una uhakika sio wa kuambiwa bali una uhakika hata demu anayetembea naye unamjua, basi HAKUPENDIIII, kula kona kaliiiii, ondokaaa mwachee, infidelity is worst....
   
Loading...