kitu gani kinakufanya utamani kununua brand isiojulikana wakati zinazojulikana zipo?
na warranty hatoi mwenye duka, warranty inatolewa na kampuni husika, ukiona mwenye duka anakuchombeza na maneno matamu wakati hata ofisi za kampuni unayonunua hazijulikano zilipo kimbia mapema kuna utapeli.