M marwarwa Senior Member May 3, 2016 104 46 Jun 8, 2017 #1 Mwanamke kutokwa na ute mweupe ukeni Kama lotion au maji ya mchele. Je tatizo hili linasababishwa na nn na je linachangia kutopata ujauzito?
Mwanamke kutokwa na ute mweupe ukeni Kama lotion au maji ya mchele. Je tatizo hili linasababishwa na nn na je linachangia kutopata ujauzito?
mojave JF-Expert Member Apr 30, 2016 5,567 6,409 Jul 8, 2017 #4 Ningekusaidia jibu ila hili jukwaa anakaa mkwe wangu
N ndayilagije JF-Expert Member Nov 7, 2016 7,491 8,301 Jul 8, 2017 #5 Anakuwa kala wali sana au kupaka lotion zaidi .