The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,659
Samahan kwa mwenye ujuzi anisaidie, computer imepoteza local disc D naomba kufaham jinsi ya kuirudisha.
Nenda kwenye icon ya 'Computer/ My Computer'.Samahan kwa mwenye ujuzi anisaidie, computer imepoteza local disc D naomba kufaham jinsi ya kuirudisha.
Thanks ngoja nijaribuNenda kwenye icon ya 'Computer/ My Computer'.
Right click na chagua Manage.
Ya pili kutoka chini ni 'Disk Management' ichague hiyo.
Ukiikuta local disk D kama itakua simply haijawa located itakua na rangi tofauti na nyenzake. Right click.
Chagua 'Change drive letter and paths'.
Kitakuja kiboks chenye 'add, change na remove' chagua change.
Utachagua herufi mpya kati ya nyingi utakazozikuta na kubonyeza 'ok'.
Hope kufikia hapo utakua umetatua tatizo.