Hivi second selection aliyesikia tetesi zinatoka lini? maana kuna jamaa mtaani kwetu anasema aliomba siku waliofungua mtandao (CAS) mara ya pili anadai kashapatiwa majibu kuwa amechaguliwa ni kweli naombeni msaada maana na mimi nasubiri second selection.