Msaada jamani wale wa udom special diploma in education

Msaada jamani wale wa udom special diploma in education

Joined
Aug 9, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Jamani wana jf tafadhali nawaombeni mnipe taarifa kamali kuhusu join instruction za udom kama zmetoka au la maana wa2 wengne wanasema zmetoka sasa kama ni kweli tunazpataje! please wanajamiiforum
 
Kwanini hukuwauliza hao watu wanaosema/waliokupa taarifa kwamba zimetokaa?

Halafu chuo hua hatuiti joining instruction, zinaitwa admission letter.
 
Back
Top Bottom