msaada jamani wa sherian kwa anayejua hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani wa sherian kwa anayejua hii

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by congobe, Jul 16, 2012.

 1. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mi mwalimu nataka kumfuata mume wangu anakoishi nimetuma barua ya maombi pamoja na cheti cha ndoa ,kwanza head master ame coment kwamba imepitishwa afikiriwe kupatiwa mwalimu mbadala,nimemwona DEO anasema nipereke mwalimu ndo nipate kuhama kumfuata mume wangu naomba ushauri wenu walimu tunaonewa sana jamani
   
 2. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 899
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Hili peleka kwenye jukwaa la sheria utapata jibu,humu wanataka kusikia TCU tu
   
 3. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Amin ngoja niende huko unakonelekeza
   
Loading...