Msaada jamani, Sijisikii kula Hata nikila nakula kidogo saana

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
910
2,165
Kuna tatzo linanisumbua siku ya 3 leo
Sijisikii kula
Hata nikila nakula kidogo saana

Halafu pia tumboni nahic kuna kitu ki nakwangua....kinataka kutoka nje lakii hakitoki

Naomba kujua nini tatizo??
Solution ni nini pia
 
Kula matunda na kunywa maji mengi kama hakuna relief nenda hospitali pia waweza kuja PM nikushauri zaidi.
 
Nimekunywa mtindi glass moja tu nimeshiba kabisa ndi ndi ndi.
Wakati tangu asubuhi sijala msosi.
 
Kuna tatzo linanisumbua siku ya 3 leo
Sijisikii kula
Hata nikila nakula kidogo saana

Halafu pia tumboni nahic kuna kitu ki nakwangua....kinataka kutoka nje lakii hakitoki

Naomba kujua nini tatizo??
Solution ni nini pia
Nakushauri utumie kwanza dawa ya kusafisha tumbo. Ukiwa na uhitaji ninazo aina nyingi.
 
Hii kitu mi nshaizoea naweza kuwa na njaa balaa ila nkiona msosi njaa inakata. Mi najua ni kwasababu ya bia za mara kwa mara ila nkiacha kwa wiki1 tu nakuwa fresh japo kwa asili mi sio mlaji saana.
 
Back
Top Bottom