msaada jamani Samsung Rugby Smart I847 na galaxy S niende wapi???

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
jamani nisaidieni kuna mtu anataka kunitumia simu kaniambia nichague moha kati ya hizo mbili...naomba mnisaidie ipi niichague??? kwa hyo Samsung Rugby Smart I847 naogopa ktu kimoja nlishanunua galaxy exhibit T mobile na ikawa inanisumbua sana network...na hapa jf wadau wakaniambia haiwezi kukamata 3G.
sasa kati ya hizo simu mvili nchukue ipi jamani???
 
mkuu wewe inabidi sasa ujifunze mwenyewe kucompare simu hebu kwanza nenda gsmarena fungua simu mojawapo kati ya hiyo then angalia kulia utaona neno compare liclick then litakuja box andika nyengine then compare utaona faida na hasara ya kila moja
 
mkuu nnachoogopa no je hii ya at&t kwa matumizi ya hapa bongo itafaa au ndo itakuwa kama ile t-mobile ambayo ulinambia haiwezi shika 3g hapa tz
 
atnt au mtandao wowote ule wanaweza kulock lakini frequency ni zile zile za bongo 1900/2100 so kuna posibility ya kui unlock tofauti na t-mobile ambao hutumia 1700 ambayo ni ya kwao tu.

kama simu unatumiwa why iwe locked? si umwambie akununulie ambayo sio locked? au aende yeye kwenye mtandao husika wakaiunlock. ni rahisi ku-unlock vitu vya atnt ukiwa marekani kuliko ukiwa bongo
 
ok boss thx nimekupata
 
Back
Top Bottom