Msaada jamani nipo njia panda

Msaada jamani nipo njia panda

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba mwenye kujua anisaidie. Necta wanaangalia kitu gani mpaka wampangie mtu combination ya HGE ??
 
Kwanza uwe na vigezo vya ujumla vya kwenda advance ukiacha kile cha kwenye combi uwe na point zisizo zidi 10. Kwa kuwa hujafanya Economics basi uwe na ufaulu mzuri H na G. Ni vizuri pia kama una ufaulu wa B/Math.
 
.
IMG-20190220-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom