Ahsante sana Comi: nitatendea kazi ushauri wako.Kuna mengi yako nyuma ya hiyo kauli"I HATE LOVE" ambayo wewe unayajua na hujayasema. Haiwezekani kauli hiyo kutokea kama hakujawahi kutokea visa vya kuumiza katika mahusiano. Jaribu kukaa chini na kutafakari mwenendo wenu mzima wa mahusiano tokea mmeanza. Pia jaribu kuangalia mwenendo wake wa mahusiano aliyokuwa nayo kabla yako.
Kuna watu mnapenda ndoaMmekaa uchumba miaka kadhaa. Je mlipanga kuoana baada ya miaka mingapi? Na je kuna maandalizi yoyote ambayo ulishaanza kuyafanya?
Umewahi kumpigia cm kwa kutumia code number hii 0713 au hii ya kisasa 0653?Wadau!
msaada please!
Nina mchumba niliyekaa naye miaka sasa, tukiwa katika kujadili namna ya tutakavyooana, yeye amekuwa mpinzani lakini indirect way.
Ahhha...tumekuwa tukizozana sana kwani yeye anataka nifuate mawazo yake, yangu amekuwa mpinzani wa mawazo yangu...
Sasa leo..tumezozana kwa njia ya message mpaka ananiambia "I hate love" kiukweli kauli hii imenisononesha sijamjibu tena.Nimeona nikae kimya....
JE, wadau hii ni dalili gani? na inakuwaje mpaka dada anapata ujeuri huu wa kuniambia haya?
JE, Nifanye nini nirusishe AMANI YANGU NA MIPANGO YANGU YA KUOA/KUMWOA?
MSAADA WADAU WAZOEFU NIPO KWENYE MIIBA.
Hujasema sababu ya kozozanaWadau!