Pole sana mama,hakikisha unamweka mtoto vizuri katika ziwa lako, yani sehemu kubwa ya chuchu iingie mdomoni kwa mtoto.
Halafu uwe unamnyonyesha mara kwa mara kama alivyoshauri mwenzetu hapo juu hii itasaidia kuondoa maumivu.
Maumivu yataisha tu usiache kunyonyesha mwanao sababu faida za kunyonyesha ni kubwa kuliko maumivu hayo ya muda.pia unaweza uka google tatizo lako na kwa msaada zaidi nakushauri uende hospitali.
source:mother of 1.