Tafadhali nimeulizwa swali na mama mkwe wangu kuhusiana na GPA??
Kuna shemeji yangu amesomea course ya BAED na amepata GPA ya 2.56 na anataka kusomea course ya "Masters " kwny Administration, Management in Education au Masters in Librarianship
Naomba mnisaidie kwa maswali hta niliyoulizwa;
1.Je ataweza kujiunga kusoma chuo kwa Masters kwa GPA hyo??
2.Je atafanikiwa kusoma Course hzo anazozitaka?
Nmeulizwa na mim sina uzoefu ktk hilo sasa nmeona niulize humu kwnye wataalamu wa mambo haya.
[emoji310] Tafadhali naomba kuwasilisha.!![emoji310]