Msaada jamani ku-install software ya webcam

Msaada jamani ku-install software ya webcam

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Naombeni msaada waungwana namna ya kurudisha software ya webcam katika minilaptop yangu ya samsung N150 plus. Mwanzo nilikuwa nikitumia cyberlink youcam kwenye windows 7. Niliondoa wimdows 7 nikaweka wimdos 8 siku za karibuni lakini nimeona windows 8 siyo user friendly kwa notebook yangu kwahiyo nimerudisha windows 7 ultimate, tatizo sasa ni baadhi ya app hasa zile zilizokuwa installed na samsung ikiwepo youcam kutokuwepo. Nimejaribu kuzitafuta kwenye net nikijaribu kuinstall zinakataa. Naombeni mnisaidie.
 
Asante sana waungwana, nimefanikiwa. Nakupenda JF!! "JF ni kama nyumbani, JF ni kama chuo" - Regia Mtema(R.I.P)
 
Tatizo sasa limebaki kwa zile applications za samsung ambazo nyingine zilikuwa useful sana kwangu kama vile Battery Life Extender,n.k. Nimeenda kwenye website ya samsung sijaziona au pengine ninakosea namna ya kuzitafuta. kama kuna namna ya kupata zile applications ndugu zangu, tusichoke kusaidiana.
 
Chiefmkwawa nakushukuru sana, nimeziona. Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom