Msaada jamani. Kompyuta imezingua...

Msaada jamani. Kompyuta imezingua...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Imeanza jioni hii. Nikiwasha sikirini inakuwa nyeusi ikiambatana na maneno 'BOOTMGR is compressed
Press Ctrl+Alt+Del to restart'
nikifanya hiyo command inazima, ikiwaka inarudi tena vile vile. Nisaidieni wakuu...
 
Labda uzime moja kwa moja press and hold power key uipe muda kidogo halafu uwashe tena....(mi si mtaalam wa IT lakini ni basic knowledge tu nakupatia tu hapa)
 
Labda uzime moja kwa moja press and hold power key uipe muda kidogo halafu uwashe tena....(mi si mtaalam wa IT lakini ni basic knowledge tu nakupatia tu hapa)

hiyo tumeshajaribu mkuu, haijafanya kazi.
Anyway out?
 
Washa,then ikileta hayo bonyeza "esc" then utabofya f2 utaona what is going on man.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom