Msaada jamani katika kufuta TIN number

Bardisbah

New Member
Sep 29, 2020
2
2
Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat sina fremu Bali nachezesha kihome nilishauriwa n friends nikachukue TIN ili nisije niksumbuliwa na baadhi ya watu, lakin leseni sikuchukua nilipata TIN Pekee hiv Leo nimekwenda kulipa deni ninalodaiwa na nataka nifunge Ile TIN, kwasbb nimeambiwa Mimi ningechukua kitambulisho nikaenda jiji nikpewa fomu toka jiji lakin baadhi y sehemu kweny Ile fomu inatak ujaze taarifa za leseni na Mimi sina je hapo nifanyeje?
 
Nenda serikali ya mtaa uliyopo waambie wataka kufunga tin watakupa barua utaipeleka ukiambatanisha na copy ya ile tin, hapo kama unadaiwa watakwambia ulipe ndio waifunge. Ila taratibu ndio hizo
 
Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat sina fremu Bali nachezesha kihome nilishauriwa n friends nikachukue TIN ili nisije niksumbuliwa na baadhi ya watu, lakin leseni sikuchukua nilipata TIN Pekee hiv Leo nimekwenda kulipa deni ninalodaiwa na nataka nifunge Ile TIN, kwasbb nimeambiwa Mimi ningechukua kitambulisho nikaenda jiji nikpewa fomu toka jiji lakin baadhi y sehemu kweny Ile fomu inatak ujaze taarifa za leseni na Mimi sina je hapo nifanyeje?
Unachohitajika kufanya hapo ni kuandika barua ya kuomba TIN yako ibadilishwe kutoka kwenye Business TIN na iwe Non-Business. Ikashabadilika hapo utakuwa salama.
Ukiandika barua watakuangalizia madeni yako kama unadaiwa itahitajika ulipe madeni yako na kama hauna basi itabadilishwa lakini uwe na sababu ya kufanya hivyo.
 
Shukran Sana wakuu, appreciates mchango wenu, nimefanikiwa kujitoa kweny TIN nashkuru ingawa changamoto ndogo ndog zilikuwepo ni kawaida, Kilichobakia wamesema watakuj kunitembelea ili wahakikishe, But me sitafunga kazi yangu cause kama unavyoon hapo kweny picha sio fremu ni kihome, nadhani wao wenyewe wakija watachoka jinsi kulivyo, nataka nifanyaj mpango wa kitambulisho cha mjasiriaml kabla ya wao kufika, wakija niwe tayri ninacho also pia mwnyekiti Wang nilimtaarifu hii issue anaifahamu, AU NYIE WAKUU MNASEMAJE JINSI ENEO LILIVYO NA HII HATUA NINAYOTAKA KUFANYA ABOUT kitambulisho cha mjasiriaml. Asanteni 🙏

IMG_20210928_125836_1.jpg

IMG_20210928_125858.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom