mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Ayaaaaah!
Na jee anakuambiaga ni kwanini anajuta?
Niljaribu kufanya uchunguzi kidogo nikagunndua marafiki zake wengi wana ndoa zenye matatzo, wengine wameachwa/ wengine wamewatawala wanaume wao na wengine hawana ndoa, wengine wamewafukuza waume zao.. Alafu hata wazazi wake hawaishi pamoja zaidi ya miaka 30 na wana ndoa! Wakati mwingine husema bora niishi peke yangu, mbona hata mama anaishi mwenyewe!
Acha uoga,usimuwazie sana,ata kama anafanya ufusika,cha msingi ni wewe concetrate ni kwa namna gani unaweza ukarudisha biashara yako katika right positions,pengine msaada wake kwako sometyime ndio unaomfanya akushibe.
Halafu mara nyingi tuwapo tumelala hupenda sana kumlaza mtoto katikati sijuagi ana maana gani! Ukimuuliza husema ili mtoto apate joto!
Mimi nina mke na mtoto mmoja, kwa bahati mbaya mke wangu anaishi mbali na mimi mikoa tofauti, tunaishi hivyo kwa kuwa yeye ni mwajiriwa wa serikali na mimi ni mfanyabiashara, hivyo bado hajapata uhamisho wa kunifata mimi. Tumefunga ndoa na ndoa yetu ina mwaka na miezi 6 huwa tunatembeleana kila panapopatikana nafasi... Lakini cha kushangaza ni kwamba ninapomtembelea mke wangu huyo huwa hapendi kabisa kutembea na mimi! Kwa mfano siku za jumapili ukimwambia twende kanisani haendi!. Lakini nikiwa sipo anaenda ukimuuliza hana sababu. Hata pengine anaenda sehemu hawezi kamwe kukubali muende pamoja, katika mazungumzo yetu sametime ananiambia sijui kusalimia, mara hawezi kwenda na mimi popote! Tena anaapia! Kwa kweli kimshiko mimi kabla ya kufunga nae ndoa nilikuwa vizuri kwani hata nnyumba nimejenga, lakini kutokana na mambo fulani biashara imekata sana, hivyo sametime hunipiga tafu hasa upande wa familia... TATIZO LINGINE ALILONALO NI MTU ANAENUNA KWA JAMBO DOGO SANA! Tukiwa pam
hataki muongozane? nimestuka sana " ukosee kujenga nyumba kuliko kukosema kuoa"
Ndoa Ngumu Jaman, Matatizo Yako Nayangu Nikama Pacha Japo Naona Yako Yanaahueni Kidogo, Mwenyewe Mumewangu Nikama Huyo Mkeo, Ila Najidai Sioni Kero Zake Ili Nipate Amani Japo Nataman Nitoke, Vumilia Ukishindwa Lea Wanao Muache Aishi Atakavyo Asijekuua Napresha Bure
kuna wakati pia huniambia anajuta kuolewa!