Wakuu mambo vp? Kuanzia leo Page ya jamii forum kwangu mimi inafunguka vibaya ni bora ile ya awali kwa sisi tunaotumia simu simu ninayotumia ni Nokia E61i ni tatizo kwa wote tunaotumia simu au ni kwangu pekeake!!!!!??