politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 544
- 688
Wenzetu wakenya mbona wanapenda nissan, Subaru na Volkswagen? Ila ukija Tanzania watakuambia hayo magari Yana shida Sana kumbe shida tunazo Sisi watanzania ( Kwa kifupi wabongo hatupendi challenge za maisha, unakuta gari amenunua Kwa mamilioni kln anatumia engine oil ya 50,000 na filter ya 10,000 )Hakuna gari iko na shida bali wenye shida ni watumiaji...
Wenzetu wakenya mbona wanapenda nissan, Subaru na Volkswagen? Ila ukija Tanzania watakuambia hayo magari Yana shida Sana kumbe shida tunazo Sisi watanzania ( Kwa kifupi wabongo hatupendi challenge za maisha, unakuta gari amenunua Kwa mamilioni kln anatumia engine oil ya 50,000 na filter ya 10,000 )
Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..
Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa.
Ina feature nyingi ambazo kila gari ya kisasa bac lazima iwe nayo. Pia ni very comfortable, safety features za kutosha, engine power ✅, reather seats✅, stylish… na mazaga kibao..
Ina engine ndogo tuu na ni very economy. Cc 1,600 na 2000,
Na pia yapo matoleo ya hybrid,
Hizi gari kwa bei ya mkononi zinauzwa kitonga sn, na nyingi ni number E..
Yani kila anaeuza utasikia anasema Exchage allowed ✅
Sasa kabla wengine hatujaingia mkenge please naomba tusanuane, hasa kwa wale ambao walishawai kuyamiliki…
Shida ni nn mpaka resale value yake iwe chini hivi? Kama ni Mimba tusanuane please..
Natanguliza shukrani
Upo sahihi kaka japo kinachonishangaza ukishamiliki week nyingi lazima utafute mteja….Haya magari sijawahi kusikia shida zake
Kaka, ist nunua resale value yake ipo juu,Mbona IST zinauzwa sana na wengine wako tayari kubadilisha na gari nyingine, na,o unataka kusema zina shida!!!
Shida mafundi wetu. Kuna Gerage Moja nilikuwa nikaona fundi anaweka 20W 50 kwenye Vitz toleo la 3. Mwenye gari hata hajui anatakiwa kuweka oil ya aina Gani katulia anachezea Simu. Nikajisemea tu kimoyo moyo kama gari inadeka itajibu chapWenzetu wakenya mbona wanapenda nissan, Subaru na Volkswagen? Ila ukija Tanzania watakuambia hayo magari Yana shida Sana kumbe shida tunazo Sisi watanzania ( Kwa kifupi wabongo hatupendi challenge za maisha, unakuta gari amenunua Kwa mamilioni kln anatumia engine oil ya 50,000 na filter ya 10,000 )
Hatari sana mkuu....Shida mafundi wetu. Kuna Gerage Moja nilikuwa nikaona fundi anaweka 20W 50 kwenye Vitz toleo la 3. Mwenye gari hata hajui anatakiwa kuweka oil ya aina Gani katulia anachezea Simu. Nikajisemea tu kimoyo moyo kama gari inadeka itajibu chap
Subaru NI janga kwa ujumlaNatumai wote n wazima wa afya…