Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
Kuna Mtu kafungua account ya FB Kwa Picha Na Jina Langu.. Na kaanza kupost maada Na watu wengi wanaonifaham wamejoin faster.. But he start doing fishy things ndiposa waliponipigia cm kuniuliza Kama account ni yangu , I Suprised kugundua ni kweli kuna raia anachoropoa. What can I do to stop this gut..