Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,333
- 3,714
Nimefanikiwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tarehe 26 mwezi wa 3 mwaka 2022.
Lakini changamoto niliyonayo ni kwamba nimepoteza kitambulisho cha utaifa na hata vitambulisho vingine pia sina.
Hivyo wakuu wangu naombeni msaada wa mawazo ni hatua gani naweza kuchukua ili niweze kufanya usaili huu.
Natumaini wapo watu walishapitia changamoto kama yangu hivyo kupitia uzoefu wao wanaweza kunielekeza Jambo la kufanya na hatimae nikafanikiwa kufanya usaili.