Msaada jaman wataalam wa I.T ukiwemo chief mkwawa:

Msaada jaman wataalam wa I.T ukiwemo chief mkwawa:

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,119
Reaction score
1,808
Mimi natumia nokia lumia 920T, sasa tatizo la hii cm imebadilika lugha kwenye upande wa tigo pesa pamoja na salio la kawaida! yaan kwa mfano nikiuliza salio kwa njia ya *102# jibu linakuja kwa lugha ya kichina! au nikifanya huduma za tigo pesa mfano *150*01# menu yake inakuja ya kichina sasa sielew tatizo ni kitu gan! programe nyingine zote ni za lugha ya kingereza kama ilivyo sim nyingine sema tatizo lipo kwenye miamala na kuuliza salio la kawaida! nimei restore lakin bado tatizo liko pale pale! nisaidien jaman
 
je umeshajaribu kwenye ofice za mtandao husika?
 
nimejaribu lakin imeshindikana! yaan ata cjui tatizo nn maana cm yenyewe nimepewa tu na shangaz yangu na kwa sasa hayupo nchin na pia mawasiliano yake cna hivyo hata cjui kama ilikuwa hv hv au alichezea ndio maana lugha ime change
 
nime restore bhana kavishei lakin imeshindikana
 
nenda setting then language eka iwe english, then nenda tena setting then region eka united state jaribu hivyo kwanza
 
chief mimeweka region united state
language united kingdom
ikaleta option ya ku restart nikai restart lakin bado imekataa
 
Hiyo si language menu ya simu nzima ila ni message setting..

Umejaribu ku weka line tofauti? Kama bado, hebu jaribu!

Au kama itashindikana, then nenda ktk message setting> languages>English

Hiyo haiitaji ku restore. Kama itashindikana, then angalia kalenda kama iko sahihi na time zone
RekebÍsha hivyo.. Fanya hivyo then let me know..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unaweza pia ukaenda kwenye system application>Language+region

Sina uzoefu wa matumizi ya hiyo simu, so tafuta languages sehemu hiyo uifanye English kuwa default language

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nenda kwenye menu ya tigo, then tafuta badili lugha, hiyo menu iko kama app zingine symbol kama ya sim card. Hapo ndo kuna shida, tafuta taratibu mpaka upate pa kubadili lugha. Ahsante
 
nashukuru kwa ushaur wenu ! ngoja nijaribu ikishindikana narud tena jukwaan
 
chief mimeweka region united state
language united kingdom
ikaleta option ya ku restart nikai restart lakin bado imekataa

kote eka english us hadi language, then inaweza kutaka uidownload hio lugha make sure unaidownload na keyboard pia iwe lugha hio hio.
 
Sidhani kama menu ya Tigo pesa iko controlled na settings za simu. Una uhakika ni menu ya Tigo na sio error msg kutoka kwenye simu?
Umejaribu kuitumia hiyo line kwenye simu nyingine na ukaona kama unapata menu ya kawaida kwenye tigo pesa? Pia una uhakika ni kichina na sio maandishi yaliyovurugika tu?

Angalia account ya microsoft (hotmail/live/outlook) iliyoungwa na hiyo simu ilifunguliwa kama ya nchi gani?
Kama ni china basi itabidi ufungue account mpya ya Outlook.com ambayo setting zake ni TZ au US kisha factory reset hiyo simu na itakapokuomba account ya microsoft weka account hiyo mpya.
 
nimejaribu line nyingine lkn bado, na account cjafungua tangu nii restore
 
Mimi natumia nokia lumia 920T, sasa tatizo la hii cm imebadilika lugha kwenye upande wa tigo pesa pamoja na salio la kawaida! yaan kwa mfano nikiuliza salio kwa njia ya *102# jibu linakuja kwa lugha ya kichina! au nikifanya huduma za tigo pesa mfano *150*01# menu yake inakuja ya kichina sasa sielew tatizo ni kitu gan! programe nyingine zote ni za lugha ya kingereza kama ilivyo sim nyingine sema tatizo lipo kwenye miamala na kuuliza salio la kawaida! nimei restore lakin bado tatizo liko pale pale! nisaidien jaman
Hiyo simu ilikuwa designed specifically for Chinese market so hapo hata ukifatilia kwa source tofauti inaonesha hivyo (kwa source chache nilizopitia) so hapo sidhani kama kutakuwa na njia mbadala juu ya hilo.
 
Back
Top Bottom