Msaada jaman kwa wale wataalam wa madish

jaywizz

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
14
Reaction score
0
wadau nina mdogo wangu hapa home kafuta chaneli zote.me xo mtundu xana ila nmejaribu nikapata itv eatv na capital.naombeni jinsi ya kuongeza nyingine
 
utatumia njia hiyo hiyo uliyotumia.hapa nakupa baadhi ya freq.
tbc 3891 v 3071
star tv3884 v4900
tvm 3653 h5632
chanel10 4066v 2849. zaidi utauliza mkuu
 
Back
Top Bottom