Msaada: Ipi main switch bora kati ya Tronic & Havels?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,553
1,429
Habari za muda huu wakuu,niingie kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu.

Wakuu nimefanikiwa kujenga kibanda cha kujiegesha sasa nataka kufanya wireling, natafuta main switch iliyo bora zaidi.

Kwa maelezo ya wataalamu wa hizo kazi yanakinzana,wapo wanaoamini zaidi Havels wengine Tronic sasa naombeni tips zaidi kuhusu hizi brands
 
Kampuni zote mbili hizo ni nzuri hazina shida, hata ukipata vifaa vya kampuni ya ABB navyo ni sawa tu, ila kuna kampuni inaitwa Hippo hiyo ndio vifaa vyake ni vya kawaida ila vinadumu pia.
 
Kwahyo nchukue tronic au havels?
 
Habari za muda huu wakuu,niingie kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu.

Wakuu nimefanikiwa kujenga kibanda cha kujiegesha sasa nataka kufanya wireling, natafuta main switch iliyo bora zaidi.

Kwa maelezo ya wataalamu wa hizo kazi yanakinzana,wapo wanaoamini zaidi Havels wengine Tronic sasa naombeni tips zaidi kuhusu hizi brands
Nilitumia tronic lakini kwa sasa naenda na havels.
 
Back
Top Bottom