Alie kuuzia unamjuaJe naweza kuifanya mwenyewe?
Au ni reset all setting ?
uza skrepa simu ya mbiyo hiyo au mrudishie mwenyewe Yani hiyo simu ilikuwa linked tayari ndo maana apple waligoma I'd nyingine mpya isifunguliweYah namjua ila pia hakumbuki kitu.nmejaribu kuiresett ilichoniletea nmechokaView attachment 2669390
Yah namjua ila pia hakumbuki kitu.nmejaribu kuiresett ilichoniletea nmechokaView attachment 2669390