Msaada iphone kuibiwa naipataje?

Loyal yatch

Member
Jun 4, 2018
44
91
Habari za humu wakuu

Usiku wa leo vibaka wamekuja nyumbani wameiba vitu kadhaa laptop,fedha ,simu 2 Samsung pamoja na iphone x ,nataka kuitumia iphone kutafutia vitu vingine kwa sababu ilikua na icloud na ilikua ON pia mwenye uelewa kidogo jinsi ya kuipata msaada tafadhali

cc CHIEF MKWAWA
 
Pole sana mkuu,

kwa uelewa wangu mdogo nilionao, nakushauri ufanye haya machache kwa uharaka.
ingekuwa rahisi sana kama umefanya family sharing, ungeweka kwenye lost mode ambavyo ingekupa urahisi wa kuweka namba yako ya simu unayopatikana ambavyo ingekuwa displayed kila simu inapowashwa.

zamani hiyo option ya kuweka kwenye lost mode ilikuwa inapatikana hata kwa kulog in kwenye icloud kupitia web browser ya computer yeyote. Bado inapatikana ila kwa sasa kuna ugumu kidogo hasa ukitumia computer tofauti naya mwanzo.

jaribu kuwasiliana na mafundi wa aggrey ndiko itaenda kuuzwa kama screpa kwa ajili ya spair accessories.

Jaribu kugoogle pia utapata mwanga mwingine.

Narudia tena Pole sana, Hizi chura hizi....!!
 
ahsante mkuu
 
Nenda kitengo cha cyber criminal ukiwa na IMEi na namba ya cm iliyokuwepo kati ya hizo zilizo ibiwa utazipata
 
Tafuta mtu mwenye iPhone then tumia app ya find my iPhone kwa apple id yako na password hope itakusaidia
 
Back
Top Bottom