Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,421
- 8,362
Naomba msaada kwa wataalamu. Nimenunua iphone ya kichina nikaunganisha kwenye cpc. Imeshindwa kusoma. Ikawa ina install kwa muda mrefu baadaye pc ikaniambia your device failed to install. Nifanyeje jamani?