X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,766
Wakuu nimeachiwa iphone 4s na best yangu mmoja hivi aliyekuwa hapa nchini tulikutana some where at the end akanipa iphone sasa sikuwa na haraka ya kuitumia juzi naiwasha inaniambia niingize apple id ili ifunguke kwa vyovyote vile itakuwa ni id ya yule aliyenipa ambaye naweza kusema tulikutana tu kibahati mbaya atukuwa tunafahamiana wala sizani kama nitakuja kukutana naye tena hivyo kwa yeyote fundi anayeweza kunifungulia hii simu awasiliane na mimi.
Nimejaribu mbinu zote ikiwemo ya kudowngrade lakini nimeshindwa naomba msaada fedha ya vocha nitatoa kwa atakaeweza kunisaidia.
Nimejaribu mbinu zote ikiwemo ya kudowngrade lakini nimeshindwa naomba msaada fedha ya vocha nitatoa kwa atakaeweza kunisaidia.