Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Mkuu niuzie display na housing ya hiyo simu. Motherboard baki nayo.
Alafu eti ni best yakeduh mtu wangu wa nguvu hii yako kali yani jamaa humjui umeonana nae mara moja tu akakupa iphone 🙂
Ukweli ndio huo mkuu tulikuwa kwenye michezo muda wao ulipoisha wakarudi...Sema ukweli maana maelezo yako yana ukakasi si kawaida mtu ambaye mmeonana naye mara moja hapo hapo akupe iPhone na Kama ni ya kupewa mwenye nayo anajua fika huwezi ku-access chochote bila iCloud lazima angekupa tu password,
Mimi mwenyewe ninayo IPhone 4s sema ukweli usaidiwe mkuu.
hizi ndio simu za kutumia aisee maana nimetumia zaidi ya gb16 kuishughurikia hii simu nilichofanikiwa ni kuiupgrade na kuidowngrade lakini sijafanya chochote cha maana dah.Hii simu umeiba au imeibiwa!! HAKUNA FUNDI DUNIANI ANAYEWEZA KUTOA HIYO LOCK!!! na kama ni ya mzungu basi jiandae kukamatwa na FBI au interpol!!!
Last time nimeskia iCloud imefunguliwa ni kwenye ile kesi ya yule gaidi kule marekani ambapo FBI waliifungua tena kwa mbinde sana!!! Sasa kama unaifungua wapelekee FBI wakufungulie otherwise iweke kabatini au mpe mtoto achezee kama toi!!!
NB: NAWAPONGEZA SANA APPLE KWA JINSI WALIVYO na SECURITY MADHUBUTI!!!
yamekuwa hayo tenakwa hiyo ukaona kumuibia hiyo simu mshkaji wako wa siku nyingi kuwa umepata mwenyewe?!
Relax...wewe ndio umeyataka.Mwanzo umesema ni best yako kitambo tu alafu hapo mwishoni ukasema kuwa hata kujuana hamjuani mlikutana tu bahati mbaya na hujui kama mtakuja kukutana tena...hiyo story ni watu wawili tofauti au ni mtu mmoja?!yamekuwa hayo tena
apple id inatoka bana msimtishe jamaaa but kwa uelewa mdogo tutabisha najua inatoaka kwa njia tatu nazo zfaham sema kupata izo tools nigharama ku afford lkn mana wanacho lock wao ni imei tu co simu lkn ikishindikana njia ya software ata hadware method ukitumia apple id inatoka vizur bila shida na hata haifiki huko 250usd kwa iphone 4s huwa ni kama usd60 iv 6s plus doina karbia huko mm na uhakia na bsha witnes iphone nying sana zkitolewa iyo icloud mnoisifia ninyiHii simu umeiba au imeibiwa!! HAKUNA FUNDI DUNIANI ANAYEWEZA KUTOA HIYO LOCK!!! na kama ni ya mzungu basi jiandae kukamatwa na FBI au interpol!!!
Last time nimeskia iCloud imefunguliwa ni kwenye ile kesi ya yule gaidi kule marekani ambapo FBI waliifungua tena kwa mbinde sana!!! Sasa kama unaifungua wapelekee FBI wakufungulie otherwise iweke kabatini au mpe mtoto achezee kama toi!!!
NB: NAWAPONGEZA SANA APPLE KWA JINSI WALIVYO na SECURITY MADHUBUTI!!!
Ukweli ndio huo mkuu tulikuwa kwenye michezo muda wao ulipoisha wakarudi...
Nenda mliman city nasikia kunafundi ameshawah fanyiwa katka maswala hayo ila sijajua yupo eneo gan with in mliman cityWakuu nimeachiwa iphone 4s na best yangu mmoja hivi aliyekuwa hapa nchini tulikutana some where at the end akanipa iphone sasa sikuwa na haraka ya kuitumia juzi naiwasha inaniambia niingize apple id ili ifunguke kwa vyovyote vile itakuwa ni id ya yule aliyenipa ambaye naweza kusema tulikutana tu kibahati mbaya atukuwa tunafahamiana wala sizani kama nitakuja kukutana naye tena hivyo kwa yeyote fundi anayeweza kunifungulia hii simu awasiliane na mimi.
Nimejaribu mbinu zote ikiwemo ya kudowngrade lakini nimeshindwa naomba msaada fedha ya vocha nitatoa kwa atakaeweza kunisaidia.
![]()
apple id inatoka bana msimtishe jamaaa but kwa uelewa mdogo tutabisha najua inatoaka kwa njia tatu nazo zfaham sema kupata izo tools nigharama ku afford lkn mana wanacho lock wao ni imei tu co simu lkn ikishindikana njia ya software ata hadware method ukitumia apple id inatoka vizur bila shida na hata haifiki huko 250usd kwa iphone 4s huwa ni kama usd60 iv 6s plus doina karbia huko mm na uhakia na bsha witnes iphone nying sana zkitolewa iyo icloud mnoisifia ninyi